Tulonge

SIASA (14)

Discussions Replies Latest Activity

Eti Waziri Asiye Na Wizara Maalum!!

Hivi Waziri huyu kazi yake ni nini? Ofisi zake ziko wapi? Nawasilisha Wapendwa!

Started by CHA the Optimist

1 May 19, 2014
Reply by Christer

JE, TOZO LA KODI KWA WATUMIAJI WA LAINI ZA SIMU NI HALALI?

Hivi karibuni serikari yetu ilitangaza utozwaji wa kodi kiasi cha 1000/= kwa kila line kwa watumiaji wa simu za mikononi, sheria hii ilio p…

Started by Geoffrey Masai

24 Nov 6, 2013
Reply by CHA the Optimist

Baraza Jipya, Mawaziri Wapya au Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri?

Wengi tumashuhudia Mheshimiwa sana Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza baraza lake jipya na marekebisho yake, nikiwa katika mazingira ya w…

Started by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.

1 May 8, 2012
Reply by CHA the Optimist

Hivi hii ni haki kweli?

Bwana Toto Kassi ambaye ni Afisa Mistu wilaya ya Same mkoa wa kilimanjaro alisimamishwa kazi na Mh. anayejiita Maige tangu 23/12/2010 na Mk…

Started by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.

3 May 1, 2012
Reply by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr.

Kati ya Rais Obama na Rais Sarkozy, ni nani anaweza kuvumilia uongo.?!

  Katika mazungumzo yao binafsi yaliyonaswa na waandishi wa habari bila ya wao kujua wala kutambua, viongozi wa Ufaransa na Marekani Nicol…

Started by ILYA

1 Nov 9, 2011
Reply by Alfan Mlali

Kumbe ukweli nao una ulimi, unaweza kuzungumza !

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Kijeshi na mshauri wa zamani wa dikteta aliyeuawa wa Libya Kanali Muammar Gaddafi amesema kuwa Imam Mussa Sadr…

Started by ILYA

4 Nov 7, 2011
Reply by ILYA

Mbunge: Alama ya nyoka kwenye noti ni shetani

MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), amehoji bungeni sababu za serikali kutangaza utalii wa nchi kwenye noti kwa kuweka picha za wan…

Started by Don M

4 Oct 24, 2011
Reply by jemadari mimi

Sema Usikike !!!

  Haya ,kiendeleacho bungeni kuna mbunge ,Kabwe Zitto kwa nia njema anaisukuma serikali kufuta posho la vikao kwa Wabunge na watendaji wa h…

Started by Babengwa

0 Jun 16, 2011

Una kipi cha kusema juu ya serikali ya TZ kuhusu milipuko ya mabomu kwa mara ya pili?

Siku chache zimepita toka milipuko ya mabomu kutokea katika kambi ya jeshi Gongo la Mboto.Hii ni mara ya pili kwa tukio kama hili kutokea b…

Started by Diana

4 May 31, 2011
Reply by Babengwa

Inamaana kuna baadhi ya wabunge hawajui umuhimu wa kura zao? Iweje kura 9 za uchaguzi wa spika wa bunge ziharibike?

Ni jambo la kushangaza kwa kura tisa za wabunge kuharibika katika uchaguzi wa spika wa bunge uliofanyika leo mjini Dodoma. Katika uchaguzi…

Started by Tulonge

1 Nov 13, 2010
Reply by Alfan Mlali

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*