Tags:
Replies are closed for this discussion.
NASHUKURU KUWA MDAU WA WIKI .
DUU SIPATI PICHA KILA NIKIPIGA PICHA INAUNGUA LOL HA HA HA. ILA KARIBUNI WAPENDWA WANGU NA PIA KIKUBWA NAHITAJI USHAURI WENU.
Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki dada Angela!
Jiandae kwa maswali yatakayofuata muda si mrefu maana ni magumu kweli yanatakiwa yajibiwe kiukweli usidanganye..Ukidanganya tu unageuka sanamu shauri yako...!!
ASANTE SANA DADA AGNES,
MIMI KWA KABILA NI MWIRAQ MWENYEJI WA MKOANI MANYARA AU WENGI HUPENDA KUTUITA WAMBULU.
Agnes Nyakunga said:
Hongera Angel kwa kuwa mdau wa wiki 1. Dada Angel kabila gani
Hongera sana kwa kuwa mdau wetu wa wiki dada Angela!
Jiandae kwa maswali yatakayofuata muda si mrefu maana ni magumu kweli yanatakiwa yajibiwe kiukweli usidanganye..Ukidanganya tu unageuka sanamu shauri yako...!!
Hongera dada Angela kuwa mdau we2 rasmi wa week! Ningependa kujua kama umeolewa au la,kama bado natafuta mchumba, unaonaje uwe wangu lahazizi???????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli anafaa ila sina
NASHUKURU SANA EDWIN BADO SIJAOLEWA NAIMANI SIKU YAJA TAARIFA UTAZIPATA TUU. KUHUSU KUWA WAKO SAMAHANI HILO HALIWEZEKANI.
EDWIN NTUNGILWEGE said:Hongera dada Angela kuwa mdau we2 rasmi wa week! Ningependa kujua kama umeolewa au la,kama bado natafuta mchumba, unaonaje uwe wangu lahazizi???????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hamna kwele dada,ila nina wivu kwa huyo atakaemiliki hapo!
ANGELA JULIUS said:NASHUKURU SANA EDWIN BADO SIJAOLEWA NAIMANI SIKU YAJA TAARIFA UTAZIPATA TUU. KUHUSU KUWA WAKO SAMAHANI HILO HALIWEZEKANI.
EDWIN NTUNGILWEGE said:Hongera dada Angela kuwa mdau we2 rasmi wa week! Ningependa kujua kama umeolewa au la,kama bado natafuta mchumba, unaonaje uwe wangu lahazizi???????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
POLE SANA EDWIN
EDWIN NTUNGILWEGE said:Hamna kwele dada,ila nina wivu kwa huyo atakaemiliki hapo!
ANGELA JULIUS said:NASHUKURU SANA EDWIN BADO SIJAOLEWA NAIMANI SIKU YAJA TAARIFA UTAZIPATA TUU. KUHUSU KUWA WAKO SAMAHANI HILO HALIWEZEKANI.
EDWIN NTUNGILWEGE said:Hongera dada Angela kuwa mdau we2 rasmi wa week! Ningependa kujua kama umeolewa au la,kama bado natafuta mchumba, unaonaje uwe wangu lahazizi???????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by