Tulonge

TFF na ligi ya Tanzania

hivi TFF wanatakiwa kuongoza vipi ili ligi zetu Tanzania kuanzia za mtaani hadi ligi kuu na timu ya Taifa zifanye vyema?

 

Tuwasaidie mawazo au tuchague viongozi wapya, huku hakuna kuhama chama hivyo tupeane mawazo jamani

Views: 304

Reply to This

Replies to This Discussion

Ngoja nitarudi kutoa maoni baada ya kukusanya info muhimu.
Aaa ndugu walisha kuanzisha system nzuri tangu mwanzo sasa ulemavu ulisha komaa nivigumu sana kwao kuendeleza michezo kwa daraja inayo takiwa wapo watanzania wengi wanania ya kujiendeleza kimicheze na mpaka kufikia laver ya dunia lakini taifa linawabana.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*