Timu yetu ya soka ya Tanzani leo imepoteza mchezo wake wa pili wa kusaka tiketi ya kucheza fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika. Tanzania imebugizwa goli 1-0 goli ambalo lilipatikana kipindi cha kwanza. Umahiri wa Juma Kaseja langoni ulitunusuru kufungwa magoli mengi zaidi. Unalipi la kuchangia juu ya hili.
Tags:
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by