Tulonge

Babu yako alikuwa na nanihii laini kama hizi nyanya zako

Kuna bibi mmoja alienda gengeni kununua nyanya, wakati akichagua nyanya machozi yakaanza kumdondoka. Mwenye genge akamuuliza, bibi mbona machozi yanakutoka? Bibi akajibu, mjukuu wangu we acha tu. Nnavyo chagua hizi nyanya zinanikumbusha marehemu babu yako, yaani alikuwa na P..mbu laini kama hizi nyanya zako.

Views: 498

Reply to This

Replies to This Discussion

tehtehtehteh....Imetulia sana

lol...noumer

Hahahahhaahaaaa wewe Severin hamnazo kweli.Yani Pumbu laini kama nyanya?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*