Bahili alinunua Mbuzi akampeleka nyumbani, alipofika nyumbani akamuambia mpishi;
nyama nusu ipike pilau, na nyingine itie kwenye friza! kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi wa chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala. Utumbo pika na ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!
Mpishi akamuuliza;
hutaki na sauti ya Mbuzi tufanye ringtone kwenye simu yako?
Tags:
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by