Tulonge

BARUA YA SHUKURANI KWA WADAU WA TULONGE TOKA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIGAMBONI

Uongozi wa Kituo cha watoto yatima Kigamboni (KCC) umetuma barua ya shukurani kwa wadau wa Tulonge kutokana na zawadi ya viatu iliyokabidhiwa kituoni hapo tarehe 23/01/2012. Nakala ya barua hiyo imeambatanishwa hapo chini kwenye 'attachments'.

Pia nakala ya barua hiyo imeambatanishwa kwenye ukurasa wenye maelezo zaidi kuhusu tukio zima la kukabidhi zawadi hiyo. Bofya hapa kutembelea ukurasa huo.

Michango kwa watoto yatima inaendelea...

Views: 690

Attachments:

Reply to This

Replies to This Discussion

Safi sana hii..inatia moyo na kuhamasisha tujitolee zaidi kuwasaidia watoto hawa. Ni matumanini yangu kuwa  zoezi la uchangiaji litaanza tena muda si mrefu ili tuweze kutoa kile tulichojaaliwa na kuwasaidia watoto yatima.

Asante kwa barua hiyo ya shukrani

Yeeees, kila kitu kimekaa mahali yake!!

ALAFU MFUKO LAZIMA UENDELEE WADAU.........TUWEKE MIUNDO MBINU YA KUENDELEZA MFUKO.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*