Uongozi wa Kituo cha watoto yatima Kigamboni (KCC) umetuma barua ya shukurani kwa wadau wa Tulonge kutokana na zawadi ya viatu iliyokabidhiwa kituoni hapo tarehe 23/01/2012. Nakala ya barua hiyo imeambatanishwa hapo chini kwenye 'attachments'.
Pia nakala ya barua hiyo imeambatanishwa kwenye ukurasa wenye maelezo zaidi kuhusu tukio zima la kukabidhi zawadi hiyo. Bofya hapa kutembelea ukurasa huo.
Tags:
Safi sana hii..inatia moyo na kuhamasisha tujitolee zaidi kuwasaidia watoto hawa. Ni matumanini yangu kuwa zoezi la uchangiaji litaanza tena muda si mrefu ili tuweze kutoa kile tulichojaaliwa na kuwasaidia watoto yatima.
Asante kwa barua hiyo ya shukrani
Yeeees, kila kitu kimekaa mahali yake!!
ALAFU MFUKO LAZIMA UENDELEE WADAU.........TUWEKE MIUNDO MBINU YA KUENDELEZA MFUKO.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by