Breaking News:
Boti ya "Azam Marine" iliyokuwa inatoka Dar-es-salaam asubuhi ya leo kuelekea Zanzibar ikiwa imepakia abiria wasiopungua 450 na mizigo ipatayo tan 13,wamefika salama na mizigo yao bandarini Zanzbar!.Al-hamdulillah Rabbil-A'lamin.
Asanteni sana.na habari ndio hiyo.Sio kila zikizama tu ndio tuambiane na kujulishana,bali hata zikfika salama pia tujulishane!.
Na IL-YA
Tags:
Duh!!! nilivyokimbilia haraka kwenye hii habari... teheheheee
Hata mimi nilikuja speed kweli. Nikajua kitu kimesha zama
uuwwiiiiiiiiiiii,wengine tunasomaga tuu vichwa vya habari hatusumi habari,
hapa presha lazima ishuke na kupanda.ha ha haaaa
sawa kaka na uwezo wa meri hiyo ni watu wangapi na mizigo tani ngapi
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by