Ina sikitisha sana kuona watu wengi wamekua wakifanya ngono ni moja ya starehe kubwa kwao na kufanya kushea mapenzi na watu mbalil mbali huku na kule na watu wengi wenye tabia kama hiyo daima mwisho wake inakua ni kuambuli magojwa mabali mbali ya zinaa na ukimwi ikiwa ni moja wapo,sio kama namanisha wenye ukimwi wote ni wazinzi laa,wapo wao ambukizwa na wazazi au wale kupitia viaa vya ncha kali na mengineyo.
kwa sasa gonjwa hili limekuwa ni tatizo kubwa hapa duniani na itakuwa vyema kama na sisi kama wadau wa tulonge tukionyesha nguvu zetu kupiga vita ugonjwa huu ..... kumbuka hili ni gonjwa letu sote
regards
ABD
Tags:
Inanisikitisha sana kuona picha hizi!Mwenyezi Mungu atuepushie mbali gonjwa hili!
Jamani inatisha inabidi mtu ujichunge! Mifano mingi imetolewa, watu wengi wameimba kuonya!! Kama kina Remy Ongala RIP, Millie Jackson Neneh Cherry nk! Sikilizeni HII LINK!
http://www.youtube.com/watch?v=IuMKrnJiEeU&playnext=1&list=...
http://www.youtube.com/watch?v=JekD6VywEnA&playnext=1&list=...
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by