Tulonge

Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichagga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi.

Kinatoa kozi zifuatazo:

1. Ulevi - Mwezi mmoja
2. Ujambazi - Miezi sita
3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja
4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili
5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo)
6. Kuuza duka - Miezi mitatu; (hardware)
7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani - Miezi minne
8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa - Miaka miwili
9. Kufuga ng'ombe - Mwaka mmoja
10. Kutengeneza saa na simu - Miezi miwili (maalum kwa vijana wa uru)
11. Kuuza bucha - Wiki moja.(maalum vijana wa kibosho)
12. Kuendesha pick-up - Miezi minne (stout)
13. Kugombea udiwani - Miaka miwili
14. Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji - Wiki sita
15. Kuchakachua mafuta - Mwaka mmoja
16. Kupata kazi TRA - Miezi mitatu
17. Kukwepa kodi - Wiki nane
18. Kununua mashamba - Mwezi mmoja
19. Kuoa wake wengi - Wiki mbili
20. Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure

Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la
Kimara, Dar es salaam.


 Views: 834

Reply to This

Replies to This Discussion

hahahahahaha huu sasa ni uta ni utani babake, ila kama ulikwepo vile maeneo hayo maana hujakosea
Hahahahahaaa ww Belita naona una hamu ya kupigwa ngumi na wachaga.
hiyo kali dadake !!
@Belita umesahau kozi moja, kupika mbege,
e bwana ndioooooooooooooooooooooooh! kozi ya kumtia mtu mimba imesahuliwa na kumtongoza mwanamke katika huo mtaal au sylabas je itakuwa kwa miezi mingapi?
HAhahahahaahahahahaha!
Naona una utani na Oswald wewe!!!!!!
mmmmh! hilo neno! hicho ndo Chuo cha kijasiliamali. Sijui na sisi tusio wachaga tutapata admision!
Mtori je ? for lunch
''''Jamani hizo jooke's zingine sio '''''nilishaanza kuwa na maswali mengi......inakuaje
all in all most important here is to be aware of segregation you know that.....
imemaliza nchi za wenzetu..........
Felix nadhani Belita amefanya utani fulani hv,cdhani kama kuna any kind of segregation. Felix ww ni mcha ga nn? angalia usije ukamchoma kisu Belita hahahahaaaa

felix fabian said:
''''Jamani hizo jooke's zingine sio '''''nilishaanza kuwa na maswali mengi......inakuaje
all in all most important here is to be aware of segregation you know that.....
imemaliza nchi za wenzetu..........
Naomba nijiandikishe
Nani wa kumpa maombi yangu?
Hahhhaahhaaaaa hii kali sana.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*