1. Ulevi - Mwezi mmoja
2. Ujambazi - Miezi sita
3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja
4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili
5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo)
6. Kuuza duka - Miezi mitatu; (hardware)
7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani - Miezi minne
8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa - Miaka miwili
9. Kufuga ng'ombe - Mwaka mmoja
10. Kutengeneza saa na simu - Miezi miwili (maalum kwa vijana wa uru)
11. Kuuza bucha - Wiki moja.(maalum vijana wa kibosho)
12. Kuendesha pick-up - Miezi minne (stout)
13. Kugombea udiwani - Miaka miwili
14. Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji - Wiki sita
15. Kuchakachua mafuta - Mwaka mmoja
16. Kupata kazi TRA - Miezi mitatu
17. Kukwepa kodi - Wiki nane
18. Kununua mashamba - Mwezi mmoja
19. Kuoa wake wengi - Wiki mbili
20. Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure
Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la
Kimara, Dar es salaam.
Tags:
Hahahahahahah Belita sasa unatangaza vita na wachaga? mmh! watakutafuta na kibatari mchanamchana maana sehemu zote ulizotaja wapo utakimbilia wapi?.
@Belita hivi hujawahi kuwashiwa mziki na wachaga eeh, ngoja wakusikie,mambo vp lkn?
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by