Tulonge

Wapendwa wa tulonge mke wangu amejifungua trh 29 november amejifungua mtoto wa kiume, amejifungua salama mama anaendelea vizuri na mtoto anaendelea uzuru kabisa. sijaweka picha kwa sababu tangu mtoto azaliwe sijafika kwa sababu nipo bize mno. ila christmas nitaenda kumuangalia mpendwa wangu.

Views: 1383

Reply to This

Replies to This Discussion

hongera sana mzazi, itabidi sasa uchukue likizo ndefu ili uwajibike nyumbani kumsaidia mama watoto kwa kipindi hiki.

Hongera sana bonielly,Mungu awajalie afya  njema ili muweze kumlea malezi bora.

kaka geoffrey aksante ila sasa ukisema nichukue likizo ndefu, ili nimsaidie mama kulea nitapote maisha yako tyt vibaya nitakuwa namsaidia jumaapili na dada yangu marry nashukuru sana kwa ushauri wenye upendo ushauri wako utakua changamoto kwa kumtunza shedrack na mama yake.

Karibu kwenye Ubaba mkuu, jiandae kulea sasa. Tena nilikua napenda uwe na mtoto na mama yake ili uone kimbembe cha kulea mtoto. Utakoma usiku, toto linalia balaa.Halitaki kulala wala nn.

Sio watoto wote wanalia USIku,mama akishiba vizur Mtoto
atanyonya na kushiba hivyo usumbufu sio Wa kutisha.wanaume wengine Mtoto akilia USIku Wana
Hama chumba kaz inakuwa ya mama kubembeleza,UsIwe hivyo kaka yangu .NAKUTAKAI MALEZ MEMA

Hongera sana kaka

kaka dis mwanangu akimaliza arobaini tu, anakuja geto, kuhusu usumbufu huyu wananiambia akwa na njaa anasumbua hata usiku lkn akishiba yeye ni usingizi hana bifu na wazazi wake, watoto wa kike ndio wasumbufu sana, dada yangu moni nashukuru kwa pongezi naahidi kumlea na mungu awe kiongozi wangu ili shetani asinitawale,
kaka mgao aksante

Hongera Sana. Wewe sasa ni mme, na sio mwanaume.

Mmmh! acha mchezo wewe Boni, mitoto ya kiume ndiyo misumbufu balaa. Inanyonya balaa hadi mzazi anakonda. Kama siku hiyo maziwa hayatoshi ndo utalijua jiji. Watoto wa kike hawanyonyi sana, wananyonya kidogo tu then wanalala. Ngoja tumuulize Mama Malaika kuhusu hili.Bonielly said:

kaka dis mwanangu akimaliza arobaini tu, anakuja geto, kuhusu usumbufu huyu wananiambia akwa na njaa anasumbua hata usiku lkn akishiba yeye ni usingizi hana bifu na wazazi wake, watoto wa kike ndio wasumbufu sana, dada yangu moni nashukuru kwa pongezi naahidi kumlea na mungu awe kiongozi wangu ili shetani asinitawale,
mkuu cha the g kweli sasa mume, aksante kwa kunipa hongera zimefika ,
mkuu dis kuhusu kunyonya kwakweli huyu mwanangu nahisi anaongoza maana hata mama yake mda mwengine usiku ananipigia sim ananiambia hapati usingizi yeye ni kunyonya kwakwenda mbele haachii ziwa mpaka ahakikishe kashiba bila hivyo ni kilio

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*