Tags:
hongera sijui unaitwa baba nani
hongera kwa kuchekecha kiuno!
hahahahaaaa zay hauja tulia hata kidogo,
Zainabu Hamis said:
hongera kwa kuchekecha kiuno!
Eeeeeee bwana Jembe hongera kwa kulima na mazao kutokea...naona huko bize kipindi hiki mwana...ndo ukubwa huo...mara hii lazima kazawadi ka "mtoi" lazima kavuke reli....tudondosheee hata snaps za mwanzo wanzo...pamoja kibweno tuuu!
Hongera sana Bonielly, Nimeingia hapa leo baada ya kutokuonekana kwa muda mrefu hapa kibarazani. Mungu awalinde Mama na Mtoto na awape afya njema.
ingawa nimechelewa!!ila HONGERA SANA!
Mungu ashukuriwe mkeo kajifungua salama. Nakupa hongera sana wewe na mkeo kwa kupata mtoto.
hongera sana mkubwa mungu akujaalie umpatie malezi bora
aksante mama, msalimie malaika na denzel pia,
Mama Malaika said:
Mungu ashukuriwe mkeo kajifungua salama. Nakupa hongera sana wewe na mkeo kwa kupata mtoto.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by