Tags:
Hahahahahahaa ndiyo maana hakuna haja ya kupendana saaana siku hz. Mnapendana kidogo tu, ili hata mkitosana haiumi sana.Siku hizi kukatisha mapenzi kwa sababu ya mali ni kawaida sana.Mambo ya kumpenda msichana/mvulana kwa moyo wako wooote hakuna.Muulize Ali Kiba akupe mistari ya 'Single boy'.
Inaelekea jamaa aliondoka akiwa mdogo kama piliton.
-Mapenzi ya kweli yapo ila kwa watu wachache saaaana ukilinganisha na zamani. Maisha magumu tuliyonayo hasa nchi zinazoendelea yamesababisha watu kuthamini pesa zaidi katika mapenzi.
-Pia binadamu hatuna hofu ya Mungu siku hz. Tunafanya dhambi bila jali kuwa Mungu hapendi.Hivyo mtu kumtenda vibaya mpenzi wake haoni tabu.
hiyo inamaumivu bora ujikwae keki ianguke kuliko kuifikisha hapo,
mhuu bora tu jamaa kasepa zake maana hapo yeye alikuwa kidumu na wa Range ndiyo ndoo.
Bora angemwambia usije mapema. Na huyo wa Range Rover sio wake peke yake huyo bibie, afanya kula uchafu wa wenzie ukute katoka kwa mwanamke mwengine.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by