Tulonge

Hivi hii hali ya ukimya iliyotawala ya kuvunjwa na kusukwa upya kwa baraza la Mawaziri tunaionaje? Je sisi Wa-Tz tunahoji au tunachukua hatua gani juu ya ufisadi wa raslimali hizo zilizofujwa na hao Mawaziri? Nadhani sasa ni wakati mwafaka wa kutafuta suluhu ya jambo hili. Kwenu wadau....

Views: 394

Reply to This

Replies to This Discussion

Hao mawaziri mafisadi ni vyema mali zao zikataifishwa na washtakiwe. Kujiuzuru siyo ishu, lazima warudishe mali walizoiba. Vinginevyo ubadhilifu wa fedha utaendelea kila kukicha, tutabadili mawaziri hadi tukome. Wakipewa adhabu kali wataogopa kuiba fedha za serikali.

MHESHIM IWA RAIS ANATAKIWA AFAGIE WAHUJUMU UCHUMI WOTE AUNDE NCHI UPYA BILA KUOGOPA WALIOMTANGULIA, MALI ZA UMMA ZILIZOFUJWA SIRUDISHWE KWA WANANCHI NA WALIOHUSIKA WACHUKULIWE HATUA KALI, NALOIFARIJIKA NA KAULI YA RAIS YA KUWAWAJIBISHA WOTE WANAOTUHUMIWA NA UFISADI.

Kubwa ninaloliona kwanza ni kunyofolewa madarakani, pili wafikishwe mahakamani na tatu kuwafirisi tu ili tujenge nidhamu ya madaraka na heshima kwa wananchi.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*