Jamaa karudi home usiku wa manane moja kwa moja akazama chumbani, akafunua blanketi, akaiona miguu minne badala ya miwili aliyoizoea. Jamaa akafunika blanketi taaratiiiiiibu, kisha akachukua bonge la rungu.. Akaitwanga ile miguu kwa nguvu zake zote halafu akaelekea sebuleni kutuliza hasira kwanza. Kutahamaki akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni. Mkewe akamwambia; Wazazi wako wamekuja leo kututembelea, nimewaachia chumba chetu walale, sisi tutafanya maarifa mengine... Jamaa hoi!!
Tags:
Hhahahahahhaaaaa jamaa chizi sana hilo, yani hata halikuangalia sura kwanza.
Hahahahahaha! Dah jamaa kashaua wazazi wake mwenyewe..Ila mwenye makosa ni mke wake kwanini asimtaarifu mapema kama kuna wageni???
ha ha ha haaaaaa,kweli hasira hasara.
Hahahaaaaa... wote mnanivunja mbavu.. hahaa
Ayaaaah dah huyo jamaa ni mwehu mipombe huyo au mibangi?
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,a,a,a,a,a,,,,aaaa,,,,aaaa,,,aaaa,,aa,a,a,a,a,a,,,aa,a,a,a,a,,,,,a,a,aaaaa,a,,,,a,a,a,,a,a,a,a,a,,a,a,a,,,a,a,a,,a,a,a,a,a,,a,a,a,a,a,as,a,,,a,a,s,a,,,a,,a,,,,a,ammammmmaa,a,,m,a,mm,a,mama,m,ama,amama,,a,ma,amaaa, koho kho khoooo kohoooo, jamani kifua mpaka kinaniuma, maana sipati picha wazazi wake watakavyotoka mbio kuelekea sebeleni halafu wanawakuta watoto zao wamekaa sebuleni, wakiangaliana,
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by