Tulonge

Kuna dada mmoja alipanda daladala akiwa na mwanawe..'dada yule kila alipo kuwa anataka kumyonyesha mtoto mtoto akawa ana kataa ndipo yule dada akawa anamtishia mwanawe kwamba nyonya usipo nyonya nta mpa ANCO anyonye (ANCO ni jamaa mmoja aliye kaa siti moja na yule dada) basi yule mtoto akanyonya then akasusa kama mwanzo  mama yake akarudia kumtishia kama mwanzo kwamba nyonya usipo nyonya nitampa ANCO ndipo yule jamaa akafunguka kwa sauti kubwa bila ya kujali wingi wa abilia"Dada kuwa na msimamo basi unanipa hilo ziwa nipe kama hutaki sema nishuke..?maana nimevuka vituo vinne kwa ajili yako

Views: 966

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahahhahahahahahahahahaahaaaaaaaa, ANCO chizi kweli!

Hahahahah..Angempa na yeye kdg jamani kwanini amtamanishe halafu asimpe??

Hahahhaahahahahahahahaaaaaaaaaaa wapenda nyonyo utawajua tu @ Alfan

 Reply by Alfan Mlali on January 3, 2013 at 7:20pm

Mi napenda sana kumung'unya chakula ya mtoto aisee..

Ha haa haa haa haaa... Kayay umenivunja mbavu

 

hahahahahaaaha@ Chezeya utamu wa nyonyo wewe? Hata mimi napendaga...kwikwikwi

Hahahahahah eeeeeeeeee jamani inamaana anataka maziwa yanayonyonywa humo na mtoto nae ayapate au anataka nyonyo alichezeee? Duh ameniongezea siku

haha haha haha Anco kadata

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*