Jamani hii Dunia tunayoishi nadhani swala la mwanawake kupendana na mwanamke mwenzake(lesbians) sio geni, au swala la Wanaume(Gays) kupendana wenyewepia sio geni kwetu. Pia nadhani kama watu wakipendana bila kujali rangi, kabila, jinsia au dini sio tatizo kwani haimhusu mtu!...ni maisha yao!!
Lakini wadau mnasemaje Kama Mtu na dada yake tena wa tumbo moja (wote wanawake) wakiwa na Uhusiano wa mapenzi!! Tena mapenzi yenyewe wazi wazi na ni ya kufa na kuzikana?
Hii picha hapa ni moja kati ya picha nyingi za hawa ma sister tena mapacha...Wanapendana kufa na kupona hadi wamepata umaarufu kwa mapenzi yao... Ebu niambieni kuhusu hwa Jolie Twins ( Renee & Jenee).....?????
Tags:
kweli jamani dunia imekwisha kwa hali hiyo inayoendelea
duh madada wawili damu moja kweliiiiiiii kama vile naota mwenzenu
kweli jamani dunia imekwisha kwa hali hiyo inayoendelea
duh madada wawili damu moja kweliiiiiiii kama vile naota mwenzenu
Waone,sijui wanapata raha gani?Kamata wote then chapa viboko vikali sana.hahahah mkuu,ukiangalia model kama hizi hata time ya kufanya tendo la ndoa huwa wanapikana makofi kwenye makalio kwa hiyo viboko ni kama unazidisha utamu heheheheh.P1 kamanda
Europeans and others source over the World are majority non- religious.Those participate in religious matters wanapoishiwa na dunia yao.
Kwa kuwa hakuna imani za dhati za Uungu wanajaribu kila jambo kumodernise vitu kwa hisia zao.
Binaadamu kaumbwa hakuwachwa huru kama ambavyo wengine wanavyofikiri.Kaekewa sheria za ' DO' na 'DONT'
What logic hapa , kumalizana the same sisters kama si unyama. Ama inajenga hoja - man to man or girl to girl - haya ni kuvuruga maumbile yaani 'natural creation to human'
Matokeo haya ya kambi ya usasa , will be approved the failure at all pamoja kama yanafanyika.
Kumbe ,ukweli man to man hawalizi hamu zao sawa na lisban( wasagaji) vile vile hawa hawa tunawaita wapenzi kuzungungikiana nje ya mapenzi yao wakatafuta pengine - eti kutaka kumaliza hamu zao- shame!
LAANA ni laana hata upake rangi na matatizo yake ni mengi hata katika Dunia yao...
Nakimbilia KILIMO KWANZA- Sisi ni wakulima !!!!
yaani mimi naona kinyaa kabisa, inakuwaje mtu mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake kimapenzi jamani, akili zinakuwa ziko sawa saw kweli? hii ya sasa mimi naona ni zaidi ya sodoma sasa sijui Mungu atatushushia adhabu gani. raha yenyewe hata sidhani kama wanapata.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by