Tulonge

Jamani  hii Dunia tunayoishi nadhani swala la mwanawake kupendana  na mwanamke mwenzake(lesbians) sio geni, au swala la Wanaume(Gays) kupendana wenyewepia sio geni kwetu.  Pia nadhani kama watu wakipendana  bila kujali rangi, kabila, jinsia au dini sio tatizo kwani haimhusu mtu!...ni maisha yao!!

 Lakini wadau mnasemaje Kama  Mtu na dada yake tena wa tumbo moja (wote wanawake) wakiwa na Uhusiano wa mapenzi!! Tena mapenzi yenyewe wazi wazi na ni ya kufa na kuzikana?

 Hii picha hapa ni moja kati ya picha nyingi za hawa  ma sister tena mapacha...Wanapendana kufa na kupona hadi wamepata umaarufu kwa mapenzi yao...  Ebu niambieni kuhusu hwa  Jolie Twins   ( Renee & Jenee).....?????

Views: 2059

Reply to This

Replies to This Discussion

tuko njiani kuelekea mwisho wa dunia
Waone,sijui wanapata raha gani?Kamata wote then chapa viboko vikali sana.

kweli jamani dunia imekwisha kwa hali hiyo inayoendelea

duh madada wawili damu moja kweliiiiiiii kama vile naota mwenzenu

Wajinga hawa
Kila mtu ana uhuru wake kwasababu mwili wake unamuhusu yeye mwenyewe. Tutake tusitake, mbwa watabweka mkokoteni unaendelea na safari!
Hawa wanastahili msaada wa maombi, kisha Councelling!! Wambieni waje ni washauri!!
hii ndio inaitwa  lifestyle ya sasa  uasherati ndio model kwa sasa heheh afande sele alituambia tunia inambambo toka kitambo
Mariam dunia haija kwisha walimwengu ndio tumekwisha kwa kufanja ngono kama fashion show  dunia bado ipo na inaendelea vizuli tu na waungwana na bado wanazidi kuhisi utamu wake  lakini kina chakubanga kama hao chamoto hua wananza kukipata hapa hapa chini ya jua.

mariam beka said:

kweli jamani dunia imekwisha kwa hali hiyo inayoendelea

duh madada wawili damu moja kweliiiiiiii kama vile naota mwenzenuTulonge said:
Waone,sijui wanapata raha gani?Kamata wote then chapa viboko vikali sana.
hahahah mkuu,ukiangalia model kama hizi hata time ya kufanya tendo la ndoa huwa wanapikana makofi kwenye makalio kwa hiyo viboko ni kama unazidisha utamu heheheheh.P1 kamanda

Europeans and others source over the World are majority non- religious.Those participate in religious matters wanapoishiwa na dunia yao.

Kwa kuwa hakuna imani za dhati za Uungu wanajaribu kila jambo kumodernise vitu kwa hisia zao.

Binaadamu kaumbwa hakuwachwa huru kama ambavyo wengine wanavyofikiri.Kaekewa sheria za ' DO' na 'DONT'

What logic hapa , kumalizana the same sisters kama si unyama. Ama inajenga hoja - man to man or girl to girl - haya ni kuvuruga maumbile yaani 'natural creation to human'

Matokeo haya ya kambi ya usasa , will be approved the failure at all pamoja kama yanafanyika.

 

Kumbe ,ukweli man to man hawalizi hamu zao sawa na lisban( wasagaji) vile vile hawa hawa tunawaita wapenzi kuzungungikiana nje ya mapenzi yao wakatafuta pengine - eti kutaka kumaliza hamu zao- shame!

 

LAANA ni laana hata upake rangi na matatizo yake ni mengi hata katika Dunia yao...

 

Nakimbilia KILIMO KWANZA- Sisi ni wakulima !!!!

 

ila walisema mwisho utakuwa may 21. imekuwaje haujatokea!!!!??????

yaani mimi naona kinyaa kabisa,  inakuwaje mtu mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake  kimapenzi jamani, akili zinakuwa ziko sawa saw kweli? hii ya sasa mimi naona ni zaidi ya sodoma sasa sijui Mungu atatushushia adhabu gani. raha yenyewe hata sidhani kama wanapata.

 

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*