Siku moja teja alikuwa ametulia kichakani anavuta bangi yake akawa amesikia sauti ya ki2 akauliza nani wewe akajibu NI MIMI IZRAELI MTOA ROHO!! Teja akajibu umenishtua kinoma nilijua polisi!!!
Tags:
Hahaaahahhahaaaaaaa yani teja anamuogopa polisi kuliko mtoa roho?
Hahahahaaa... hizo ndiyo faida ya bangi.. hahahahaa
hahahahahahaha....Dah issue zingine hata haziingii akilini kabisa...hahahhahahaahah
Ha haa haaa... alikuwa ana meditate hivyo hawezi muogopa IZRAELI
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by