Tulonge

HIVI JAMANI HUYU MTU ALIYEPANDA JUKWAANI NA BASTOLA MNAMZUNGUMZIAJE, ANAJILINDA AMA NDO NINI?? TOA MAONI

huwezi amini kwa jinsi isivyotarajiwa huko igunga katokea jamaa na bastola bwana, jamani hata kama ndo kujilinda je ndo inatakiwa kuonyesha waziwazi namna ile kwamba ana mguu wa kuku. wazito wenyewe majuu hawatembei nazo sembuse huyu jamaa, hii sasa balaa, tunakoelekea ni giza totoro..........................

Views: 408

Reply to This

Replies to This Discussion

Mbona statement yako haieleweki! Nashindwa kuchangia kwa sababu simjui mhusika mkuu aliyepanda na hiyo unayodai baistola. Jaribu kuelezea kiunagaubaga ndugu. Follow this principle 5Ws+H1
inavyoonekana huyo jamaa amepanda jukwaani kiushari na si vinginevyo, kwasababu huwezi ukaongea jukwaani maneno ya heshima ukapanda na silaa sio rahisi huyo nimshari tena ukimuona tena ashuke jukwaani sisi wote tutateketea ndio ujue kwamba dunia imeisha.
Hahahahaaaaa Cha acha mbwembwe, naona umanza kutuzingua na principle zako (5Ws+H1) teh teh teh.Pius nitarudi kuchangia hapa.
Tunako elekea itabidi na mimi nikanunue ya kwangu.. maana sasa hizi siasa za kibabe tutaishia kuzichapa tu.. maana sasa kuwa nayo hadharani imekuwa dili...
He is absolutely insane, hafai kabisa kuwa Tanzania yapasa apelekwe Pakistan, Afghanistan au Iraq. Hafai hata kupewa nafasi ya mjumbe wa nyumba kumi, na wala hapaswi kusimama kuwa mgombea wa ngazi ya kata wala tarafa.
Ninalifanyia kazi.. nitaleta picha yake mda si mrefu ili jamii ijionee yenyewe!! maana watu wanaweza wakadhani kasingiziwa!!
tena ingekuwa vizuri sana ukatuonyesha picha yake maana inavyoonekana ameshawahi kuumwa ukichaa ili jamii iepukane nae kwasababu nanibusara kuepusha shari kuliko shari kamili

Reply to Discussion

RSS

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*