Kipindi babu wa Loliondo anaanza kutoa tiba kuna watu wengi sana ambao walikuwa wakimpinga kwa vigezo tofauti wasivyo na uhakika navyo. Kwa sasa babu anaelndelea kula vichwa kama kawa,tena dawa yake imeshapitishwa na mkemia mkuu wa serikali kuwa ipo SAFI.Na nikweli inatibu ndiyo maana watu wanazidi kumiminika kwa Babu toka nchi mbalimbali baada ya kupata ukakika wa dawa toka kwa watu waliopona.
Sasa nyie mliokuwa mnachonga midomo kumsema babu wa watu mbona mpo kimya? Au mnasubiri akosee ndiyo muibuke tena na kusema tulisema, wakati hamna uhakika wowote. Ona aibu ilivyo wajaa usoni.
Tags:
JAMII dada haiko hivo kun'gan'gana na issue moja hiyo.Mambo yazuka kila pembe.Leo loliondo kesho mbagala .
Tangu kuzuka mjanja huyo ni babu yako,tayari wamezuka wengine wapya na watu wanamiminika.Babu Isapile yeye kaanza wengine wanaendeleza.
Kwa taarifa za waliofanikiwa hutangaza lakini waliokufa kimya na wanaondelea kusumbuka kimya.
Hiyo, ndio dunia ndio inazunguka haikutulia.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by