Mzee wa kanisa anamlalamikia Padre: "Father, mke wangu hajui mapenzi kabisa. Nitamwacha, haki ya nani tena!".
Padre kwa uhakika akajibu: Si afadhali mkeo anajua kidogo, mke wa mpiga kinanda ndo hajui kitu. Mke wa Petro yule mzee wa kanisa na tako lake kubwa ndo bure kabisa anazidiwa hata na Sista Tuli. Yani humu kanisani mwenye nafuu ni mkeo na Agnes yule mwalimu wa Sunday School.
Tags:
Hahahahaaaaa aisee Padre ni dunga dunga kama Dixon
HAHAHAHAHAAAA..... we Dismas, usinifananishe na wewe!! yani humu tulonge we ni kiboko, afadhali Alfan kidogo!! hahahaa
We Dixon na Dogo ndo madunga dunga tena udungadunga wenu, wa padre una afadhali, muacheni Alfan wangu tena msimsingizie kabisa!!!!!!!
Padri nae yumo lol
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by