Tulonge

Inamaana kuna baadhi ya wabunge hawajui umuhimu wa kura zao? Iweje kura 9 za uchaguzi wa spika wa bunge ziharibike?

Ni jambo la kushangaza kwa kura tisa za wabunge kuharibika katika uchaguzi wa spika wa bunge uliofanyika leo mjini Dodoma. Katika uchaguzi huo Mh Anne Makinda alichaguliwa kuwa Spika. Kwa nini kura ziharibike? Inamaana kuna baadhi ya wabunge wasiofahamu umuhimu wa kura zao? Au ndo wale waliopita baada ya mchakachuo wa kura?
Matokeo yalikuwa hivi:-
Anne Makinda alipata kura 265 - 74.2%
Mabele Marando alipata kura 53 - 16.2%
Jumla ya kura 327
Kura zilizoharibika 9

Views: 308

Reply to This

Replies to This Discussion

Hao watakuwa ni wabunge wa CCM tu maana akili zao wanazijua wenyewe na hao ndio huwa wanasinzia bungeni..
usikute waliandika jina la Samweli Sitta!!!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*