Hawa vijana wana laana nini? Huyo paka kawafanya nini jamani?
Na wangekuwa UK wala sipati picha jinsi watu wa Animal Rights Group wangevo react. Bado wananchi maana nchi hapa UK ile tu kumsukuma mbwa wako wewe mwenyewe unapokuwa umetoka naye nje huku watu wanakuona ujue imekula kwako utanyang'anywa mbwa wako na kutozwa fine na hapo hujampiga mbwa wala kumnasa kibao, ni ile tu kumsukuma.
Sasa paka jinsi anavyopendwa na waingereza wangeona kitendo cha picha hii ya wabongo ndio ingekuwa balaa.... siajabu hata majirani wazungu kwa hasira wanaweza kukuponda mawe usiku.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by