Tulonge

INGEKUWA ULAYA, KIFUNGO KISICHOPUNGUA MIAKA 30,

CHEKI WABONGO NOMA, MCHEKI HUYU PAKA ANAVYOSURUBIWA,

Views: 312

Attachments:

Reply to This

Replies to This Discussion

hii noma

Hawa vijana wana laana nini? Huyo paka kawafanya nini jamani?

Na wangekuwa UK wala sipati picha jinsi watu wa Animal Rights Group wangevo react. Bado wananchi maana nchi hapa UK ile tu kumsukuma mbwa wako wewe mwenyewe unapokuwa umetoka naye nje huku watu wanakuona ujue imekula kwako utanyang'anywa mbwa wako na kutozwa fine na hapo hujampiga mbwa wala kumnasa kibao, ni ile tu kumsukuma.

Sasa paka jinsi anavyopendwa na waingereza wangeona kitendo cha picha hii ya wabongo ndio ingekuwa balaa.... siajabu hata majirani wazungu kwa hasira wanaweza kukuponda mawe usiku.

Reply to Discussion

RSS

¬© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*