Haya kazi kwenu wanachuo!
Safi sana, watoto wangu wa TZ wangekuwa wako chuo nao ningewashilikisha kwenye hii Adventure.
DISMAS... Mie nataka kwenda kwa wenyeji huko Ngorongoro nikiwa na wanangu na baba yao, kulala kwenye vijumba vyao huku tukiishi kama wao. Hivi kuna tour operators wanaohusika na utalii wa ku-organize wageni kukaa na wenyeji vijijini huko pembezoni mwa Ngorongoro Crater kwa siku chache?
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by