Tulonge

Irene Uwoya ni mfano wa kuigwa na jamii inayomzunguka?

Huyu ni msanii wa sanaa ya uigizaji wa filamu za Kibongo. Kutokana na
matendo yake tunayo yasikia na kuyaona.Unadhani anafaa kuwa mfano wa
kuigwa na jamii ya kitanzania?


Views: 2200

Reply to This

Replies to This Discussion

Mcharuko huu,hafai kuwa kioo cha jamii
mhh huyo utazani hana mume
kapata laana ya wazee wa mji hayo ni madili ya kishetani na anafa atengwe na jamii asije akambukiza watoto. la muhimu nikumwombea mola amtowe kwa hiyo laana
Hafai kuwa kioo cha jamii kwa mavazi yake. Jana nilikuwa naangalia PRET GIRL kuna sehemu amevaa nguo ndefu amependeza sana, kwa nini asiwe anavaa vizuri? Namshauri atunze uzuri wake kwa kujiheshimu na mavazi anayovaa.
lakini nawapa lawama sana wanaume ndio wanaowapa watu kama hawa support to do this eti mke wa mtu
Hafai hafai hafai. Hafai kuwa kioo cha jamii. Anacharuka sana, hajatulia.
Hivi alivyovaa tayari utakuta watoto wetu washaiga zamani....
raha jipe mwenyewe!!!kioo saaafi cha kuvutia mafataki.
Mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

yaani huyu ndiyo uozo kwa jamii kabisaaa.

Binafsi naona hafai kuwa kioo cha jamii ,na ili uwe kioo cha jamii unaitajika kuwa na mambo yafuatayoo

1kujitambua wewe mwenyewe ni nani?

2kuwa mcha mungu

3kuwa na upendo kwa jamii inayokuzunguka

4kujihesimu ktk mavazi na maongezi unayoongea

5kuwa mwaminifu ktk mahusiano ya ndoa

6kuwa mkweli

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*