Tulonge

Kuna jamaa mmoja raia wa Kenya alikamatwa na pombe haramu ya gongo ‘chang’aa’ iliyokuwa kwenye chupa na kufikishwa mahakamani. Hakimu baada ya kumsomea mshtaka yule Mjaluo aliuliza swali:
Msht: Nauliza ile chang’aa mmeikuta kwenye midomo yangu au ya chupa?” Hak; Kwenye mdomo wa chupa.”
Msht: Sasa kama chang’aa mmeikuta katika midomo ya chupa kwa nini mnastaki mimi? Sitakini  chupa siyo mimi.”
Jibu lilimuacha hakimu mdomo wazi!

Views: 354

Replies to This Discussion

hahahahahahha! Chupa si alikuwa nayo yeye hivyo na chang'aa ni yake...

Huko ni kujitetea tu ila mzigo wake huo.. hahahaaaa

Duh! Jamaa anajua kujitetea

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*