Tulonge

paka msalabani, wanastaili azabu gani hawa watu?

Views: 796

Reply to This

Replies to This Discussion

Kuna baadhi ya watu hawana akili kabisa. Ingekuwa nchi za wenzetu jamaa angelijua jiji kwa kosa la kukitesa kiumbe hicho.

Pia anaonekana kukashifu dini ya kikristo hapo. Ila sema waumini wa dini hiyo huwa hawakomalii sana ishu kama hizo. Huwa ninawasifu sana  waislam, wanauchungu sana na dini yao. Wakigundua kuwa umeikashifu dini yao lazima uhame mji. Wanaweza kukuchinja.

Kikundi cha vichekesho cha Zekomedi, huwa wana tabia ya kumuigiza Yesu jinsi wapendavyo. Wakati mwingine uigizaji wao huvuka mipaka.Lkn wakristo huwa kimya juu ya haya yote, sijui kama ni upole au hawana uchungu na dini yao. Ole wao wamuigize Mtume Muhamad siku moja, wataeleza "Why chicken drinks some water and doesn't urinate"

kwakweli hii si haki achilia mbali kukashifu dini, hata kama aliiba kitu, hastahili hii adhabu je hao wenyewe wasafi? ukiwacheki sura zao wote vibaka tu,

kama ulivyosema dis ingekuwa kwa wenzetu wanaofuta vizuri haki za wanyama wangepotea hawa watu tena maisha,

Aisee huyo paka anapata mateso makali sana, sema tunachukulia juu juu tu kwa kuwa ni mnyama. Fikiria wewe ndiyo unateswa hivyo.

Halfu angalia hilo pembeni ati limevaa tshirt yenye alama ya Love,hivi kweli kuna love hapo!huyo paka ana maana sana kuliko hawa jamaa,halafu inaonekana kama wanavuta bangi vile,hebu mcheki yule alivyonyoa nywele zake ,utadhani kanyoa  kwa jembe bwana.Zaidi hawa watu hawajui wanachokifanya kinaathari gani kwa jamii maana hii kuingia katika anga za watu tena si anga bali imani za watu,hapo unaweza ukatolewa manundu.

hahahahahahahaha! Dismas umenichekesha sana..Chicken drinks some water but does not urinate!!!!!

Umetisha kaka..

Hahhahhaaa Alfan hiyo niliitoa kwa Head-teacher mmoja wa primary skuli moja huko Kenya. Alikua mbabe sana,huwa anatoa speech za kibabe balaa.Misimo ya kuogopesha hutawala kwenye speech zake. Ngoja nitaiweka kwenye group ya Cheka unenepe speech yake.

Alfan Mlali said:

hahahahahahahaha! Dismas umenichekesha sana..Chicken drinks some water but does not urinate!!!!!

Umetisha kaka..

Hahahahahahaha..Nimeiona ile speech ya "ticha big" wako....

Tulonge said:

Hahhahhaaa Alfan hiyo niliitoa kwa Head-teacher mmoja wa primary skuli moja huko Kenya. Alikua mbabe sana,huwa anatoa speech za kibabe balaa.Misimo ya kuogopesha hutawala kwenye speech zake. Ngoja nitaiweka kwenye group ya Cheka unenepe speech yake.

Alfan Mlali said:

hahahahahahahaha! Dismas umenichekesha sana..Chicken drinks some water but does not urinate!!!!!

Umetisha kaka..

Hao vijana kwenye picha wangefanya kitendo hicho hapa UK basi wangenyea debe hao... na pia majirani wazungu siajabu wangewapiga mawe usiku na hata kuwachomea nyumba kwa kitendo cha kumfanyia hivyo paka maana hawa watu wanavyopenda paka wanamuona ni zaidi ya binadamu

Masikini paka wa watu... hawa vijana sijui wana laana????

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*