Tulonge

Jamani naomba takwimu za mauzo ya "kitimoto" kwa kipindi cha mwezi huu.Nipo kwenye research.

Naomba uniambie mauzo ya kitimoto mitaa unayoifahamu kama yameongezeka au kupungua kwa kuangalia mahudhurio ya watu sehemu hizo au sababu nyingine.

-Kama mauzo yamepungua andika "YAMEPUNGUA", kama yameongezeka andika "YAMEONGEZEKA"

Views: 896

Reply to This

Replies to This Discussion

Omari kama hukubali ni wewe tu, kuna maeneo mauzo yamepungua sana kwa mwezi huu. Jana nilikuwa na mtu wa dini yako, yeye alikiri kabisa kuwa huwa anatumia kitimoto. Pia huwa hafungi, anahisi kama anamtania Mungu maana kitimoto huwa anagonga kama kawa halafu ajifanye anafunga. Alisema huwa anakula kitimoto na baadhi ya watu wa dini yenu kibao tu, anawashangaa wao wanajifanya wamefunga. Wanamtania Mungu tu,mimi naona wanashinda na njaa tu.
YAMEPUNGUA SANA

Severin me sijabisha kuwa wa2 wa dini yangu sio waasi hao ni 1 ya walaaniwa kwani m2 yoyote anaeenda kinyume na maandiko ni 1 wa wenye laana so yeye kula kiti moto haimaanishi waislam wote wako hivyo laa,

pia hakuna andiko lolote katika dini zote lililosema kitimoto halali kuliwa

wote walao kitimoto wanaenda kinyume na maandiko ya MUNGU.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*