Tulonge

Jamani naomba takwimu za mauzo ya "kitimoto" kwa kipindi cha mwezi huu.Nipo kwenye research.

Naomba uniambie mauzo ya kitimoto mitaa unayoifahamu kama yameongezeka au kupungua kwa kuangalia mahudhurio ya watu sehemu hizo au sababu nyingine.

-Kama mauzo yamepungua andika "YAMEPUNGUA", kama yameongezeka andika "YAMEONGEZEKA"

Views: 896

Reply to This

Replies to This Discussion

Severin unakokwenda sasa unataka kupazwa we shauliako me simo maana ukishapata takwimu kitakachofuata?

ni kwa nn? yapunguwe?! utajenga hoja me naona uishie hapahapa hizi takwimu zisiwepo ili juepusha maandamano yatakayofuata.

Kwani tatizo likowapi jamani? Wewe sema kama yameongezeka au yamepungua,acha maswali mengi.
SIJUI MAANAMA KUKARIBIA KWENYE KITI BARIDI KHARAM.

Severin shauri yako, wakikuandama mama hatokutetea hata chembe. Ha haa haaa....

Hahahahaaa naona umechoka kuishi wewe, atakuja kudundwa hadi uione Dunia chungu.
Kwetu mauzo YAMEPUNGUA sana,kuna sehemu huwa wanajaa watu lkn kwa mwezi huu hakuna watu kabisa.Sijui wameenda wapi.
ni navyoona hii issue ni ya kuchokoza watu ,kw nn nasema hivyo kwamba utaposema kuwa mauzo yamepungua maana yake walaji wazuri ni upande wa pili yaani waislamu ,bely nawe unaingia kwenye mada ambayo naona unaoushahidi wa kutosha kuwa waislamu ndio walaji wa nyama hiyoo ya nguruwe.Na si wakristo ambao mahudhulio yao ni machache kwenye migahawa,lkn lzm tuwe makini  na mada zetu ambazo tunazotoa ili watu wachangie kwa mawazo ili wengine waelimike kupitia hapa ,lkn unapotaka kupata majibu au mawazo ya watu eti kuongezeka au kupungua kwa walaji wa kitimoto, bado sijaelewa kusudio lako nn? na lzm ujue reseach ikishafanyika  watu watasubiri majibu ya utafiti wako .Je umejianda kutoa jibu bila ya kuendelea upande wowote
Hakuna cha kutetea hapa.Lazima tuseme ukweli. Mauzo YAMEPUNGUA SAAAANA mwezi huu. Mimi nina ushahidi wa kutosha sana tu. Kuna ndugu yangu anauza nyama ya kitimoto na amesema kuwa biashara imekuwa mbaya sna kwa mwezi huu. Narudia tena MAUZO YAMEPUNGUA hakuna cha kufichana wala nini.

UNAJUWA MWEZI HUU NI MTUKUFU HIVYO LUNA MAAJABU MENGI YANATOKEA IKIWEPO KUPUNGUA KWA MAASWI

UKILINGANISHA NA MYEZI ILIOPITA HAPO MUNGU NDIO ANAONYESHA MAAJABU YAKE MWEZI HUU UNAHESHIMIWA NA WATU WENGI SANA HATA WALE AMBAO SIO WAISLAM WANAUHESHIMU SANA MWEZI HUU

NA WAMEPUNGUZA SANA KUFANYA MAASWI HATA WALE KIDOGO WANAOFANYA KWA LAANA LAO

KUTHIBITISHA MUNGU ANAFANYA MAAJABU MWEZI HUU KATI YA ARUSHA OR MOSHI KUMEZALIWA KONDOO ALIEANDIKWA YASEEN UBAVUNI MWAKE MFUGA KONDOO NI FAMILIA YA KIKIRISTO HAWAKUWEZA KUGUNDUWA KILICHOANDIKWA ILA KWAKUTAKA KUJUWA IKAWABIDI WAMUITE SHEKHE WA BAKWATA WA MKOA WAO AKASOMA MAANDISHI YALIOPO UBAVUNI MWA KONDOO HUYO HAYO YOTE MUNGU ANAONYESHA MAAJABU YA MWEZI HUU NDIOMANA MUNGU KAWAPA WOGA WATU WOTE WALIO CHINI YA JUWA WAHESHIMU MWEZI HUU MTUKUFU.

NINAPOSEMA HAYA SIMAANISHI KUWA WAISLAM HAWAFANYI MAASWI LAA WAPO WALIO LAANIKA

ILA MWEZI HUU UNAHESHIMIWA NA WATU WOTE WAPO WAKIRISTO WANAKULA KWA KUJIFICHA WAKIHESHIMU MWEZI HUU MTUKUFU.

Maelezo mazuri Omari, kwa hiyo umekubali kuwa mauzo ya kitimoto YAMEPUNGUA kwa mwezi huu sababu watu wanaogopa kufanya dhambi?
Lilian nashukuru kwa kuwa muwazi, jamani nataka ukweli wenu kama mauzo yamepungua au yameongezeka. Msinitishe wala nini,mimi nipo kwenye research.
Hapana sijakubali wala kukataa kama yamepungua au yamezidi sasa naomba me na ww tuongozane tuanze kuulizia ila tukifika kwenye kiti moto me nitasimama mbali sana nacho kwani ni kharam na sio tukwa musilim ni kwa imani zote hakuna hata chembe ya andiko iliohalalisha kiti moto kuliwa ila ni laana tu ya wanaadam.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*