Naam ukistaajabu ya Musa, utayaona ya FILAUNI.
Yule Mbunge wa jimbo la Kahama; amejikuta akizama kwenye penzi na mwanafunzi wa chuo cha biashara CBE- Dodoma na kumjaza mimba hatimaye mtoto. Binti huyo mwenye umri chini ya miaka 25 (jina lake kapuni) inasemekana hajamaliza au amesitisha masomo katika chuo hicho kutokana na penzi la mbunge huyo, na wazazi wake hawajui kinachoendelea hadi sasa.
Lembeli ambaye alizaliwa 26/12/1956, inasemekana ni mkubwa hata kwa baba wa binti ambaye kazaa na Mbunge huyo machachali ambaye jina lake limetawala katika vyombo vya habari vya hapa Tanzania, kutokana na kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, ambayo imepelekea matokeo ya report yake kuwapiga chini baadhi ya mawaziri wa wizara mbalimbali ambazo ni mambo ya ndani, ulinzi, na mifugo.
Kwa taarifa zaidi,tega sikio.
Tags:
mshaanza kuchafuana sasa
Huyo mwanachuo ni mtu mzima.. hakuna shida hapo.. wacha wagongane tu!!! Kangekua kabinti ka sekondari au primary ningejisikia vibaya.. huyo wa chuo anajitambua!!!
Mh. Endelea kukandamiza mwanawane!!!!
mbona hiyo sio kashifa, wazee kibao wanakandamiza under 18 hilo li mama kabisa piga tuuuuuuu!
Tena yakijipendekeza yana-chuo mengine ... "Nasema yapigwe tu. Wacha wakandamizwe, tena wapigwe mpaka wazae!!"
MGAO SIAMINI,P said:
mbona hiyo sio kashifa, wazee kibao wanakandamiza under 18 hilo li mama kabisa piga tuuuuuuu!
???????????????????//
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by