Tulonge

JE, TOZO LA KODI KWA WATUMIAJI WA LAINI ZA SIMU NI HALALI?

Hivi karibuni serikari yetu ilitangaza utozwaji wa kodi kiasi cha 1000/= kwa kila line kwa watumiaji wa simu za mikononi, sheria hii ilio pitishwa na kuridhiwa haraka tofauti na sheria zingine imezua hoja na hisia tofauti miongoni mwa makundi tofauti kama vile wananchi wa kawaida na wana siasa, ikiwa hili lilipitishwa bungeni basi ni dhahiri kuwa wapo walio ridhia, ila cha kujiuliza je kodi hii ni halali? embu tujiulize kwa haya machache;

                    Je, ni haki mtanzania anae pata chini ya dola moja kwa siku kama vile wafanya biashara ndogondogo, wafanyakazi wa ndani wakulima n.k, kuchangia sawa na wenye pato kubwa kama vile wabunge, mawaziri na hata mh. Rais?

                  Je, ni haki kuwatoza kodi jamii ya watu tegemeziwa kipato kama vile wazee, walemavu, na hata wanafunzi?

                 Ikiwa wenye makampuni hutozwa kodi, hii ina maanisha kua laini hizi pia hotolewa kodi na makampuni hayo, Je, ni haki kutoza kodi mara mbili kwa bidhaa moja?

                Embu tuone yupi ana changia asilimia kubwa kati ya mwenye pato dogo na pato kubwa katika mfano huu;

          PATO DOGO = 100000/= KODI= 1000/=

          ASILIMIA = 1000sh mara 100%  gawanya 100000sh= 1%

        PATO KUBWA=1000000Ssh, kodi= 1000sh

ASILIMIA=1000sh mara 100/% gawanya 1000000sh =0.1%

hapa tunaona mwenye pato dogo anachangia asilimia kubwa zaidi ya mwenye pato kubwa, je huu sio unyonyaji? HII INAUMA SANA  na wenye kulalamika wala hawakosei.

Views: 1509

Reply to This

Replies to This Discussion

Naona Hii nchi Haitupendi wala haina Haja na sisi walala hoi.. Wangetuambia au watufukuze tukatafute hifadhi huko duniani.. Haiwezekani wanatukandamiza kila kukicha ili wafaidi wao zaidi. I hate this situation

I absolutely hate the system... Mtu apokea minimum wage alipia income tax na kulipia tax vyote anunuavyo (through VAT) ikiwemo hiyo simu ya mkononi, haya kuitumia tena eti sirikali yamtaka ailipie, huyo mwananchi atapumulia wapi iwapo hizo atoazo kabla ya hiyo ya simu hazijazaa matunda (free medical service, free primary & sec. School for kids, clean water, etc.)???????
Mteja wa nchi tajiri halipii tax kuwa na line... Kwa mtaji huu wengi wanao ona nyumbani kituo cha police na kufia kwa wakoloni (ughaobuni) wala siwalaumu.

Muda si mrefu wapiga kura watachoka kufanywa mazumbu kuku na kuingia mtaani kudai haki kwa nguvu toka kwa wale waliowapa kura na dhamana ya kuongoza nchi na kulinda maslahi ya wavuja jasho. Na hapo sijui wataitwa wahuni wafanya fujo?? Huo ni mradi wa wachache kushibisha matumbo yao na families zao. .
Swedi... Karibu duniani kwa wakoloni (UK) uje utuunge jahazi, huku hakuna ukandamizaji wa watu wachache. Tunalipa tax lakini sio za kijinga kama hiyo ya simu. Na hata hizo tulipazo zina faida kubwa kwani huduma yote ya afya ni bure na ni nzuri sana kwa kila mwananchi, elimu (from nursery school to high school) ni bure na mazingira mazuri hata shule za vijijini nzuri zina kila kitu (books, computers, etc). Kwa huduma kama hizi hata sirikali ikinambia kulipia tax ya simu ya mkononi nitalipa bila mashaka kwani najua tax yanipa faida kwa kupata huduma bure za jamii (education, medical service, state pension, child benefit/allowance, unemployment allowance, etc.)

Swedi said:

Naona Hii nchi Haitupendi wala haina Haja na sisi walala hoi.. Wangetuambia au watufukuze tukatafute hifadhi huko duniani.. Haiwezekani wanatukandamiza kila kukicha ili wafaidi wao zaidi. I hate this situation

Doh! Mama maneno yako yamenifanya nitulie kwa sekunde kadhaa maana hapo ukitafuta huo mlija wa pesa unataka kwenda wapi? wanazozipata kwenye maongezi haziwatoshi? wanazozipata kwenye kununuwa vocha hazitoshi? kampuni ya cm inatoza kodi kwa kila mteja kwa kila mauzo na wanapeleka kodi yote serikalini bado tu? jamani loh! haya sasa majanga wabongo tunaumizwa kila kukicha nauli zinapanda maisha yanapanda baada ya wakubwa zetu tuliowapa dhamana ya kutusimamia waangalie jinsi ya kutupunzisha na upandaji bei wao ndio wanazidi kuongeza ugumu wa maisha je? tukimbilie wapi? nani? atasikia kilio cha waTanzania? hivi hao viongozi hawamuogopi hata Mungu? ningependa kupata ufahamu je makampuni ya cm hayalipii kod kwa kila line wanayouza? hawalipii kodi kwa kila vocha wanayouza? halipii kodi kwa maongezi ya cm? wazitafute hizi pesa huko nyuma zinapovujia sio waje kwetu na kutaka 1000 ni nyingi sana unapata msosi kwa mama ntilie na siku ikasonga.

Yaani Mama Malaika ningepata hiyo chansi wala sijiulizi mara mbili maana sasa hata kusema uzalendo uzalendo hauko hapa hapa ni mambo ya ubwenyenye na ubepari aliye juu yuko juu na aliye chini ataendelea kua chini na hata kubeba misalaba ya aliye juu.. Sio siri Mimi mpaka natamani kulia kwamba kwanini hawa watu wanatufanyia hivi... Ni kweli hawajui mateso wanaowapa watu wa hali ya chini au ndio aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Huku TZ kwa wazalendo hizo huduma zote ni katika majukwaa ya kisiasa tu lakini hakuna kinachoonekana. eti wanajidai wanatoa huduma ya afya bure wakati wanakata kwenye mishahara yetu. sijui kodi yetu inaenda wapi!!  Nadhani Itafika mahali hii nchi itakua kama rwanda na burundi ndio heshima itapatikana

Mama Malaika said:

Swedi... Karibu duniani kwa wakoloni (UK) uje utuunge jahazi, huku hakuna ukandamizaji wa watu wachache. Tunalipa tax lakini sio za kijinga kama hiyo ya simu. Na hata hizo tulipazo zina faida kubwa kwani huduma yote ya afya ni bure na ni nzuri sana kwa kila mwananchi, elimu (from nursery school to high school) ni bure na mazingira mazuri hata shule za vijijini nzuri zina kila kitu (books, computers, etc). Kwa huduma kama hizi hata sirikali ikinambia kulipia tax ya simu ya mkononi nitalipa bila mashaka kwani najua tax yanipa faida kwa kupata huduma bure za jamii (education, medical service, state pension, child benefit/allowance, unemployment allowance, etc.)

Swedi said:

Naona Hii nchi Haitupendi wala haina Haja na sisi walala hoi.. Wangetuambia au watufukuze tukatafute hifadhi huko duniani.. Haiwezekani wanatukandamiza kila kukicha ili wafaidi wao zaidi. I hate this situation

Kaka Omary Kwanza Asalam Alykum, Hongera kwa Swaumu.....

Hawa Jamaa nadhani wakijadili njia za upatikanaji wa kodi hua wanafikiria vitambi vyao zaidi hawafikirii TZ na Wa TZ. Maana Kwa akili ya kawaida tu haingii akilini kuweka kodi kama hiyo.. wakati bado watu tuna donda la ongezeko za nauli...

Mi nadhani hawa kuna mahali wanataka sasa tufike ili heshima haki na usawa vichukue nafasi yake Nyambafuuuuuuuuuu

What...  what....what   the.....!    Ngoja kwanza niweke Ant-virus kichwani labda nitaelewa

Yaaaaa  kweli  nyambafuuuu   tena ya mbafuuuuuu.........Narudi!

OHHHH! TANZANIA NCHI YANGU, VIONGOZI WETU HAO, BAHATI YANGU HATA KURA SIKUPIGA.  HALAFU KINACHOUDHI ZAIDI WAMESHAPITISHA HII KODI HUKO BUNGENI WANAKUJA KULALAMIKA KWA WANANCHI KWENYE MAJUKWAA,,. AAAGHHGH!!

Mi nilijua huku kusajili kuna mambo kibao
Naona umeshikwa hasira kama mimi, Tanzania imefikia point of no return.
Gratious Kimberly said:

What...  what....what   the.....!    Ngoja kwanza niweke Ant-virus kichwani labda nitaelewa

Yaaaaa  kweli  nyambafuuuu   tena ya mbafuuuuuu.........Narudi!

Swedish.... Tatizo wana siasa wanafanya watu wajinga. Hiyo huduma ya afya ukiacha kodi ya watanzania kuna kodi ya wananchi mataifa tajiri (ikiwemo kodi yangu) inaletwa kama msaada. TZ iwapo ingetumia pesa hiyo uzuri kama kipindi cha Nyerere badi Tanzania ingekuwa mbali sana. Ila ndio hivyo Africa inamalizwa na wana siasa. Africa ndilo bara duniani linaloongoza kwa wabunge na wana siasa kupata posho kubwa. Mshahara na posho ya Jacob Zuma yazidi ya kiongozi wa UK, ambayo ndio nchi wafadhili. Mbunge wangu wa jimbo hapa ukichanganya pesa yake yote haimzidi doctor aliye hospital, lakini Tanzania mbunge apokea posho kubwa kuzidi doctor anayeokoa roho za watu, tena afanyia mazingira magumu.

Swedi said:

Yaani Mama Malaika ningepata hiyo chansi wala sijiulizi mara mbili maana sasa hata kusema uzalendo uzalendo hauko hapa hapa ni mambo ya ubwenyenye na ubepari aliye juu yuko juu na aliye chini ataendelea kua chini na hata kubeba misalaba ya aliye juu.. Sio siri Mimi mpaka natamani kulia kwamba kwanini hawa watu wanatufanyia hivi... Ni kweli hawajui mateso wanaowapa watu wa hali ya chini au ndio aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Huku TZ kwa wazalendo hizo huduma zote ni katika majukwaa ya kisiasa tu lakini hakuna kinachoonekana. eti wanajidai wanatoa huduma ya afya bure wakati wanakata kwenye mishahara yetu. sijui kodi yetu inaenda wapi!!  Nadhani Itafika mahali hii nchi itakua kama rwanda na burundi ndio heshima itapatikana

Mama Malaika said:

Swedi... Karibu duniani kwa wakoloni (UK) uje utuunge jahazi, huku hakuna ukandamizaji wa watu wachache. Tunalipa tax lakini sio za kijinga kama hiyo ya simu. Na hata hizo tulipazo zina faida kubwa kwani huduma yote ya afya ni bure na ni nzuri sana kwa kila mwananchi, elimu (from nursery school to high school) ni bure na mazingira mazuri hata shule za vijijini nzuri zina kila kitu (books, computers, etc). Kwa huduma kama hizi hata sirikali ikinambia kulipia tax ya simu ya mkononi nitalipa bila mashaka kwani najua tax yanipa faida kwa kupata huduma bure za jamii (education, medical service, state pension, child benefit/allowance, unemployment allowance, etc.)

Swedi said:

Naona Hii nchi Haitupendi wala haina Haja na sisi walala hoi.. Wangetuambia au watufukuze tukatafute hifadhi huko duniani.. Haiwezekani wanatukandamiza kila kukicha ili wafaidi wao zaidi. I hate this situation

Kuna tukio mmoja lilitokea uganda ktk miaka ya 2000,mchungaji kibwetere alipowaongopea waumini wake mwisho wa dunia umeshafika toeni mlichonacho ili  muokoe nafsi zenu na pia tusali kwa pamoja ili mungu atusamehe wote cc pamoja,mwishowe akawachoma moto na kuwateketeza kabisa.

Huu ni mfano wa viongozi wa tanzania ambao kila cku wao ni kuwaongopea wabongo ,huwezi kutoza kila kitu kwa maslahi ya wachache wasiowatakia mema wabongo.unasema line za cm tulipie ili iweje? Hivi kwa mshahara upi hasa mpaka nilipie huduma hii,kuna mambo kibao ambayo watu wanalipia lkn hawaoni matunda yake,nadhani kwa hili la line za cm mmetokota sana na natishia kutoa shilingi na c ungi mkono hoja hii.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*