Tulonge

Kama mchuchuu anamwaga kojo kitandani je, utampenda

Views: 545

Reply to This

Replies to This Discussion

Adhabu yake ni kumpiga dudu kila siku hadi aache kukojoa.

Mmmmmmmmh, makubwa!!!

Christer ucgune ndo ukute mchuchuu analimwaga utamwacha.

Hahaha Severin loh hiyo yako kali loh

Unampeleka kwa dokta kwanza,labda ana tatizo.Cdhani kama yeye anapenda kuwa hivyo.Kumpenda kutabaki palepale.

Nice one @ Dis!

Like that D+, ila Kuna wengine wanakimbiaga@ sa unazan Severin akimpiga ilo dudu lake asipopona hatabaki?

Hiyo inabaki siri yenu chumbani.. Haachwi mtu hapa.. kama nimependa nimependa fulu..

Nikwel kabisa nagodoro oatoa wote kwenda kuanika@ Dixon

kikubwa usafi  tu.. .. nikuweka "mpira" ili godoro lisiharibike.. hakuna atakaye stukia.. @ Holiness

Dixon huo upendo hata sheta anauogopa@. Duuh! Hospital nako Muhim lakin
Dixon huo upendo hata sheta anauogopa@. Duuh! Hospital nako Muhim lakin

mimi simuachi hayo ni matatizo nitamsaidia kutoa godoro kila kukicha nikiweka mpira nitakua namnyanyapaa, nitafua shuka kila kukicha, najua ni utoto tu akikua ataacha,

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*