Shiriki katika kinyang’anyiro cha kujishindia tshirt ya PamoJah + vocha ya (sh5,000) kwa kujibu maswali 10 ambayo yatakua ya kuchagua. Maswali yote yatahusu mambo yaliyopo ndani ya Tulonge.
MUDA WA SHINDANO KUKAA HEWANI.
-Kuanzia tar 09/02/11 hadi tar 12/02/11
MASHARTI.
ZAWADI:
-Mshindi wa kwanza: PamoJah tshirt moja na vocha ya (sh 5,000)
-Mshindi wa pili: PamoJah tshirt moja.
Angalizo:
-Zawadi zitakabidhiwa kama zilivyo kwa washindi,hazitageuzwa kuwa fedha nk.
-Washindi watakabidhiwa zawadi zao na kamati ya tulonge Dar. Kwa wadau walio nje ya
Dar watafanya jitihada binafsi ili kuhakikisha wanapata zawadi zao.
Tags:
Mbona mna mzuka nyieeeeee? Si mmeambiwa shindano litakuwa tarehe 9????
Wenye ushindi wetu tumekaa kimya tunasubiri kujizolea mitisheti na mivocha!! hahahahahhaa
Kwa wale wanaotaka madesa/feki wataniona........kila jibu 5000/=
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by