Tulonge

Jiandae kumpokea "Mdau wa wiki" tar 15/01/2011

Mdau wetu wa wiki atang'aa 'home page' tar 15/01/2011.Kama kawaida jiandae kumpiga maswali kibao ili kuweza kumfahamu vizuri.Vile vile waweza mpa ushauri,sifa,malalamiko nk kwa kuzingatia maadili mema. Kumbuka unaweza kuwwa wewe safari hii.Pamoja sana.

Views: 388

Reply to This

Replies to This Discussion

Safi sana tunamsubiri kwa hamu....atakuwa wa kike au wa kiume??tehetehetehetehe
Usijali Alfan,utamuona tar 15 kama atakuwa wa kike au kiume. Pia anaweza kuwa jike-dume teh teh teh

Alfan Mlali said:
Safi sana tunamsubiri kwa hamu....atakuwa wa kike au wa kiume??tehetehetehetehe
tunangoja kwa hamu na ghamu mkuu

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*