Tulonge

Baada ya mdau wetu aliyepita (Chaoga) kukandamizwa maswali hadi kuona nyota nyota sasa ni zamu ya mdau mwingine wa wiki ambaye ATANG'AA ukurasa mkuu (home page) tar 1/1/2011. Jiandae kumkandamiza maswali,sifa,ushauri nk. Kumbuka unaweza kuwa wewe pia.

Kumbuka sababu kubwa ya kipengele hiki ni kufanya wadau kufahamiana zaidi na zaidi. Hivyo waweza muuliza "mdau wa wiki" chochote unachotaka kujua toka kwake kwa kuzingatia maadili.

Tupo pamoja

Views: 256

Reply to This

Replies to This Discussion

Nahisi atakuwa Mama Malaika tu...nishamuandalia maswali kibao.
Hahahaahaaa wewe andaa maswali tu,muhusika utamuona kesho.

Alfan Mlali said:
Nahisi atakuwa Mama Malaika tu...nishamuandalia maswali kibao.
Nahisi utakuwa ww utajuuuuta na miswali yangu yani subiriiii

Alfan Mlali said:
Nahisi atakuwa Mama Malaika tu...nishamuandalia maswali kibao.
HAhahahahaha! Huenda ukawa ni wewe maana safari hii ni zamu ya Mdada ntakukomalia mpaka ukimbie kijiji!

Mtemi said:
Nahisi utakuwa ww utajuuuuta na miswali yangu yani subiriiii

Alfan Mlali said:
Nahisi atakuwa Mama Malaika tu...nishamuandalia maswali kibao.
mkuu nawe unachapia duuh sio maadali, ni maadili mkuu@Dis

Lazima atakuwa Mtemi tuu,

jiandae kwa majibu.ha haaaa

Mtemi said:

Nahisi utakuwa ww utajuuuuta na miswali yangu yani subiriiii

Alfan Mlali said:
Nahisi atakuwa Mama Malaika tu...nishamuandalia maswali kibao.
me nahisi atakua mary  tu
Hhaaahahaaaaaa Kunambi nahisi pombe za kienyeji zimeanza kukuathiri boss. Zinakupunguzia uwezo wako wa kuona.Mbona sioni sehemu ambayo nimechapia kama ulivyosema. Hhahahaaa usijali boss nimesharekebisha,ni kweli kabisa nilipachia.

KUNAMBI Jr said:
mkuu nawe unachapia duuh sio maadali, ni maadili mkuu@Dis
Dis sasa mm na ww nani ameathirika na "ULANZI" teeh pombe za sh 500 mbaya ndugu yangu, sasa ulikua huoni seheku uliyochapia now umeiona eeh safi sana, na itabidi utunge kipengele cha |MTU ATAKAE OTEA MDAU ANAEKUJA" baada ya mwanzo apate zawadi, tunaanza na mm nilitabiri atakua MARY na kawa kweli teeh naanza kua Sheikh Yahya taratiibu baade nitatabiri kua Chaoga anakunywa Bia aina ya Tusker, poa mkuu ngoja tuandae madongo na makombora yay kufa mtu kwa MARY, me tayari nima maskadi 23 mpakas sasa atakoma kesho huyu hakyamungu.

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*