Tulonge

JIBU la chemsha bongo ya kuonesha paka alipo.

Hahahhahahahahaaa nawashukuru sana baadhi ya wadau waliyo umiza vichwa kwa kutafuta sehemu sahihi alipo paka na kunitumia jibu kwenye inbox yangu. Pia najua wapo wengi waliyo umiza vichwa kumtafuta paka alipo na kuamua kuuchuna kimyaaa baada ya kumkosa paka hahahahaaa.

Najua mtu kama Mama Malaika,Don M, Dixon, Chaoga,Omary,Kunambi,Mary,Agnes lazima walimtafuta sana, walipoona wamemkosa wakaamua kuchuna kimya bila kunitumia ujumbe wowote.

 

Mdau aliyefanikiwa kumuona paka ni JOHNSON tu, hongera sana mkuu.

Hii ni changamoto kwetu, tuwe tunakula mchicha kwa wingi tuweze ona vizuri kama mwenzetu Johnson. Nasikia huwa anamaliza tenga moja la mchicha kwa siku mbili.

 

Angalia kwa makini sehemu iliyo zungushiwa DUARA hapo chini utamuona paka mwenye rangi nyeupe na mabaka meusi. Anatembea, kichwa chake kina baka jeusi. Tena ana afya sana, nahisi ni mjamzito.

Angalia baadhi ya wadau waliyo jaribu kuonesha paka alipo hapo chini.

Views: 1497

Reply to This

Replies to This Discussion

Dis hapa me naandamana hebu rudi kushoto kwako kidogo baada ya hilo bati utamuona paka mwengine kama anavizia panya vile maana katulia sana

Dis me nilituma ujumbe sema ulikuwa unachukuwa muda sana kutuma mpaka nikakasirika paka nafikiri wapo wawili mwengine nimemuona kushoto kabisa baada ya huyo paka uliemuona wewe

Hahhahahhaaaa huyo paka labda ni wako. Mimi niliye piga picha nilimuona paka mmoja tu.Na hakukua na paka mwingine. Ila sikulaumu sana kwani kuna mwenzako mmoja alisema amewaona paka WATANO hahaaahhaaaa.

Omary said:

Dis me nilituma ujumbe sema ulikuwa unachukuwa muda sana kutuma mpaka nikakasirika paka nafikiri wapo wawili mwengine nimemuona kushoto kabisa baada ya huyo paka uliemuona wewe

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*