Tulonge

JIBU la chemsha bongo ya kuonesha paka alipo.

Hahahhahahahahaaa nawashukuru sana baadhi ya wadau waliyo umiza vichwa kwa kutafuta sehemu sahihi alipo paka na kunitumia jibu kwenye inbox yangu. Pia najua wapo wengi waliyo umiza vichwa kumtafuta paka alipo na kuamua kuuchuna kimyaaa baada ya kumkosa paka hahahahaaa.

Najua mtu kama Mama Malaika,Don M, Dixon, Chaoga,Omary,Kunambi,Mary,Agnes lazima walimtafuta sana, walipoona wamemkosa wakaamua kuchuna kimya bila kunitumia ujumbe wowote.

 

Mdau aliyefanikiwa kumuona paka ni JOHNSON tu, hongera sana mkuu.

Hii ni changamoto kwetu, tuwe tunakula mchicha kwa wingi tuweze ona vizuri kama mwenzetu Johnson. Nasikia huwa anamaliza tenga moja la mchicha kwa siku mbili.

 

Angalia kwa makini sehemu iliyo zungushiwa DUARA hapo chini utamuona paka mwenye rangi nyeupe na mabaka meusi. Anatembea, kichwa chake kina baka jeusi. Tena ana afya sana, nahisi ni mjamzito.

Angalia baadhi ya wadau waliyo jaribu kuonesha paka alipo hapo chini.

Views: 1276

Reply to This

Replies to This Discussion

UNAWEZA KUFIKILIA UTANI DISMAS ILA WEWE KWA VILE MTAALAMU WA INFORMATION TECHNOLOGY NA HUYO JOHNSON NIMEONA NI MTAALAMU WA GRAPHIC DESIGN SO WOTE MMEKTANA NI SAWA NA KUTUAMBIA TUTAFUTE SINDANO KWENYE PUMBA KAJISEMEA KAKA EDDIE. WALA SIKUTANII SITAKAA NIKUELEWE KABISA

 

HA HA HA OMARY WEWE MCHOKOZI KABISA YAANI UNAPIGILIA MSUMALI WA MOTO PALEPALE HUYO DISMAS HAPO TUNASEMA AMEBAMBWA ANATAKA KUTURUSHA ROHO TUU.

hapo labda ungemuweka mbwa ningemuona fasta, lkn paka mwenyewe anafanana na scraper, hata kama ningekula tembele nisingeona kabisa,

Hapa paka ni vigumu kumuona labda kama mtu unatumia mchicha! Mi michicha niliacha zamani.Hivyo ni udhuru kuhusu chemsha bongo hii.Hahahahah

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*