Tulonge

Jichunguze. Je unapoingia maliwato unajikamua sana kupata haja? Na je unatumia muda gani hadi kumaliza haja yako. Nikishauri usikimbie kumaliza haja kubwa ukifanya hivyo unasababisha kutokumaliza haja kila mara na hapo ndipo unapotengeneza matatizo katika utumbo mpana. Hakikisha kinyesi hakigandi katika sink la choo. Hakikisha kinyesi kinatoka chenyewe kwa utaratibu unaotakiwa na si kukamua na kua...mka unawahi kutoka nje. Tendo hili linahitaji muda nafasi na utulivu. Tumezoea kukuta brush ya kusafisha choo, ile haimaanishi kuwa choo ni kichafu la hasha ni wengi wetu kinyesi huganda katika sink la choo hivyo ni lazima uwe na ile brush ili uyasafishe. Iki tatizo hili la kiweka brush chooni liishe basi tumia Shake Off na Splina usafishe vizuri utumbo mpana na hutakuwa mtumwa tena wa brush. Wasiliana nami 0765903379

Views: 287

Reply to This

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*