Tafuta nanasi iloiva ile tamu, then menya, toa macho, ikate kate vipande vidogo vidogo weka kwenye brenda then chukua nazi ya kopo mimina kiasi kwenye nananasi yako, kadiria kulingana na wing wa nanasi, then saga mpaka ilainike kabisaa, hapo itakua tayar kwa kunywa. Nitamu sanaaa yan utataman unywe kila siku.
NOTE: usitumie nazi ya Unga na Usiongeze sukari wala kuchuja juice.