Tulonge

An American preaching couple (Reverend Mr & Mrs Stumbles) held a
crusade in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a real
mess of the whole event.. & meaning
Rev STUMBLE: Everything comes from above.
Njoroge: Vitu vyote huja juu juu,
STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
Njoroge:Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,
STUMBLE: know perfectly well,
Njoroge: Na muwajue vizuri sana ,
STUMBLE: That all world affairs,
Njoroge:Kwamba mapenzi yote duniani,
STUMBLE: are successfull only if held from above,
Njoroge:Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.
STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
Njoroge:Kumbuka kuuamini mlingoti wako,
STUMBLE: Keep it first and above,
Njoroge:uuweke kwanza juu juu.
STUMBLE: Let it run very deep and stong,
Njoroge:Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,
STUMBLE:Should anybody want to test you,
Njoroge:Mtu yeyote akitaka kukuonja,
STUMBLE:will feel its work,
Njoroge:Ataisikia kazi yake
STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,
Njoroge:ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,
STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
Njoroge:Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,
STUMBLE: and that peace will remain.
Njoroge:Na sehemu hiyo itabakia.
STUMBLE: Amen.
Njoroge: Huyo ni mwanamme

Views: 693

Reply to This

Replies to This Discussion

Teh teh teh teh wewe dada unavituko sana. Umeitoa wapi hii?
Hii kali,alipotosha maana kabisa. Eti Lucie, huyo translator hakusababisha wanaume waanze kuwasumbua mabinti hapo hapo mkutanoni?
hha ha haaa!hii kali!
HAhahahahaahahahaha! Baab kubwa!

hahahaa nakwambia wamlibakia kubana miguu moureen
Moreen said:
Hii kali,alipotosha maana kabisa. Eti Lucie, huyo translator hakusababisha wanaume waanze kuwasumbua mabinti hapo hapo mkutanoni?
Hahahaaaaaa nimepata huko huko best

Severin said:
Teh teh teh teh wewe dada unavituko sana. Umeitoa wapi hii?
Hhahahahaha doh! c mchezo.
Nafikiri kutoka siku hiyo huyo jamaa alipata wafuasi wengi hasa wakiwa wanaume.
Mhhhhhh hizi za mlingoti tena....tehtehteh...wewe dada hujatulia weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ha aaa ahaaaa haaaaa.... Hii kali.
Hahahahahaha ndo hali halisi hiyo wadau

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*