Tulonge

WAUNGWA KATIKA KIBARAZ AHIKI CHA TULONGE, NAPENDA KUWAJULISHA KUWA PANAPO MAJAALIWA YA ALLAH SUBHANAHU WATAALA NITAIGA RASMI KAMBI YA UKAPERA WALIOPO KINA DISMAS, CHA THE GREAT, MICHUZI JR ETC, MWISHONI MWA MWEZI HUU PALE DAR. KARIBUNI SANA.

REGARDS,
DADA.

Views: 425

Reply to This

Replies to This Discussion

2po pa1 Dada,ila tuna huzuni kubwa ka kupoteza mwanachama wa kambi ya ukapera.
Teh teh, wewe kila zama na kitabu chake, ipo siku nawe yule beki tatu akiamua una ondoka katika uanachama wa Kablu hiyo.

Tulonge said:
2po pa1 Dada,ila tuna huzuni kubwa ka kupoteza mwanachama wa kambi ya ukapera.
twakutakia kila kheri na baraka mola aijalie ndowa yenye kheri ndowa yenye furaha ndowa yenye upendo ndowa yenye mshikamano wa familia zote mbili na mola awajalie upendo maridhiano watoto wa kheri watakaokuja kuwafa ummah wa kislamu mwisho allah awape umri mrefu afya njema na furaha tele moyoni mwenu
tulonge bado wewe uwage kambi ya ukapera kaka jee utaga lini hiyo kamb???

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*