Tulonge

KUNA KATOTO AMEPANDA BASI UBONGO ANAENDA TANGA BAADA BASI KUONDOKA TU MASAFA KIKAANZA KUPIGA KELELE KONDA KONDA HAPA CHALINZE  KONDA AKJIBU BADO  KUFIKA MLANDIZI  AKAANZA KONDA HAPA CHALINZE KONDA KWA UKALI BADO WE MTOTO  BAADA YA MASAFA TENA  KATOTO  WEE KONDA HAPA CHALINZE BASI ZIMA WAKAGEUKA WEE MTOTO MBONA HUSIKII BADOO ACHA KELELE KALE KATOTO KWA WOGA KAKALIA MPAKA KAKALALA BASI IKAFIKA CHALINZE WATU WAKANUNUA VITU NGOMA IKATOKA WAKAMSAHAU  NGOMA INANGUKA MILANGO YA WAMI MBELE KIDOGO KIKAKUPUKA KONDAAA KONDAAA HAPA CHALINZE BASI ZIMA AYYAA DEREVA KASIMAMISHA BASI KILA MTU NANATOA USHAURI WAKE ITAKUAJE NDANI YA BASI KUNA TRAFIC AMEUCHUNA TU  AKASIMAMA AKAWAMBIA KWA KUA HAMZINGATII WATOTO LAZIMA UGEUZE GARI UKAMSHUSHE  BASI ZIMA LIKAUNGA  MKONO SAWA NGOMA IKAGEUKA MPAKA CHALINZE KUFIKA KONDA AKAMWAMBIA HAYA SHUKA HAPA NDO  CHALINZE KALE KATOTO KAKAFUNGUA MKOBA WAKE AKATOA SODA NA MKATE NA KUANZA KULA  NA KUSEMA MIE SISHUKI HAPA NAENDA TANGA ILA MAMA ALINAMBIA NIKIFIKA CHALINZE NILE BASI ZIMA WAKABAKI KUCHEKA

Views: 599

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahaaaaa mkuu hii ni ishu ya kweli? Au umetunga? Maana wewe kwa vtuko hatukuwezi.
Hahaha huyo dogo noma na kama kweli basi konda alimfikisha tanga kwa makofi heheheh
mboma hii stori inakuhusu wewe mwinyi?
mwana kwa fiksi nakukubali sana
Hahahahahahahahahaha! Mtoto anafuata maagizo ya Mama!
Hahahaahhhaaaa ila kosa la konda.Naona alikoma na mafuta/muda aliopoteza

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*