Definition of kiss
-------------------------
Prof .of Economics
Kiss is that thing for which the demand is aways higher than the supply.
Prof. of Accountancy
Kiss is a credit because it is profitable when returned.
Prof. of Algebra
Kiss is infinity because two divided by nothing.
Prof. of Geometry
Kiss is the shortest distance between two lips.
Prof. of Physics
Kiss is the contraction of mouth due to the expansion of the heart.
Prof. of Chemistry
Kiss is the reaction of the interaction between two hearts.
Prof. of Zoology
Kiss is the interchange of salivary bacteria.
Prof. of Physiology
Kiss is the juxtaposition of two orbicularisoris muscles in the state of contraction.
Prof. of Dentistry
Kiss is infectious and antiseptic.
Prof. of Philosophy
Kiss is the persecution for the child, ecstasy
for the youth and homage for the old.
Prof. of English
Kiss is a noun that is used as a conjunction, it is more common than proper, it is spoken in the plural and it is applicable to all.
Prof. of Architecture
Kiss is a process which builds a solid bond between the two dynamic objects
Prof. of Comp.Science
What is a kiss? It seems to be an undefined variable
Tags:
Ebwana hiii kitu imetengamaa zaidi, maprofesa wengine wamejaribu kuchemka!.
Nimependa sana maana aliyoitoa Profesa wa Kemia.
Lakini hapa kaka Eddie@ umesahau kutaja Profesa wa Kiswahili:Yeye anasema hivi:
"Kiss: Ni kitu inayomuwezesha au kumpatia mwanadamu elimu bora ya kuyajua maisha na hatimae kumpa furaha na saada katika maisha."
Hahahah imetulia sana.
Hiyo ya Prof. of Zoology and Prof. of Dentistry inakufanya ufikirie mara mbili. Ha haa haa
Wewe ni accountant Miss MALIMA, huenda ikawa field yako ndio maana unaifagilia sana hahahaha!
Miss Malima said:
Big up pro. wa accountancy.
Eddie uko juu, hahahahhhahhaahaaaa naona unaweza kuja kuwa Sheikh Yahya baadae, eeeeh mwamba ngoma huvutia kwake, Big up accountancy pro.!!!!
Huyo prof. wako wa kiswahili @ILYA, akishakaa na wenzake wakila zile nyama choma kwa mama ntilie, sidhani kwamba atakuwa na kauli nzuri na ya mafundisho hahahahahaha!
Chalii_a.k.a_ILYA said:
Ebwana hiii kitu imetengamaa zaidi, maprofesa wengine wamejaribu kuchemka!.
Nimependa sana maana aliyoitoa Profesa wa Kemia.
Lakini hapa kaka Eddie@ umesahau kutaja Profesa wa Kiswahili:Yeye anasema hivi:
"Kiss: Ni kitu inayomuwezesha au kumpatia mwanadamu elimu bora ya kuyajua maisha na hatimae kumpa furaha na saada katika maisha."
Hahahah imetulia sana.
Dada kusema kweli ukiangalia kwa undani na maneno waliyosema hawa maprof. wawili ie. Zoology na Dentistry mtu atasita kubusu au kama wasemavyo waswahili( KULA MATE AU DENDA) hahahah!
Mama Malaika said:
Hiyo ya Prof. of Zoology and Prof. of Dentistry inakufanya ufikirie mara mbili. Ha haa haa
kaka EDDIE.... Hiyo definition of kiss toka kwa maprof. wa Zoology & Dentist iwapo itabandikwa kwenye night clubs & bars, mtu aliyezoea one night stand or sex with a stranger siajabu ataacha kabisa mtindo wa kula mate.
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by