Tulonge

Kama wengi wetu tunavyo mfahamu Kanumba kama muigizaji maarufu wa filamu za Kitanzania. Tunamfahamu kwa mambo yake menge ambayo ameyafanya ndani na nje ya jamii ya Tanzinia. Unahisi anafaa kuwa mfano wa kuigwa kutokana na yale ayafanyayo?
Views: 538

Reply to This

Replies to This Discussion

Huyu angalau siku hz ametulia kidogo,anaweza kuwa kioo cha jamii. Ila alikuwa mcharuko sana kipindi fulani
Mimi nampenda sana huyu kaka. Ni kioo kizuri cha jamii.
kweli atleast amekuwa sasa ni utoto amekuwa ameacha
Mimi namkubali sema ujana ndio unawasumbua mbona humuweki King Majuto?hawa ndio wasanii toka nimewasikia sijawahi kusikia kasfa zao
No comment!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*