Tulonge

KONA YA MSANII KIOO CHA JAMII-ELIZABETH MICHAEL (LULU)

Huyu ni msanii wa sanaa ya uigizaji wa filamu za Kibongo. Kutokana na
matendo yake tunayo yasikia na kuyaona, unadhani anafaa kuwa mfano wa
kuigwa na jamii ya kitanzania?

Views: 4212

Reply to This

Replies to This Discussion

Huyu mtoto akifikisha miaka 20 atakuwa ameshachoka =!!!
Hichi kweli kimeo mtu mzima
mhh hv huyu mtoto hana wazazi?
Da me nazani utandawazi unafanya kazi vizuri,nimeipeda hii,mana wako wengi wanao jichetua?
kwani usani wa bongo nikuvaa uchi
Jmani mbona mnakisakama kioo chetu cha jamii haahahhhaaaaa
Nipeni number yake ya simu nimuhoji
umehoji ni wakati ni kioo cha jamii
oohooo mambo ya kanga patiiii sio kimeo,
count u days boniface she is under 18
watoto mida hii wameshalala mkubwa huyooo ,burudani tosha kabisa kupatanae biere,kanavutiia duuuuh
Huyu hatakaaa aolewe maisha yake yote yaliyobaki!!!!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*