Huyu ni msanii wa sanaa ya uigizaji wa filamu za Kibongo. Kutokana na
matendo yake tunayo yasikia na kuyaona, unadhani anafaa kuwa mfano wa
kuigwa na jamii ya kitanzania?
unajua mimi nilikuwa sijui kama huyu ndie yule mtt niliekuwa namtegemea kwamba atakuwa mfano wa kuigwa, lahasha kumbe wale dadazake wameshamrubuni duh, sasa hii mbaya kweli ulimwengu noma, hivi atajitokeza mtu atasema aoe huyu si balaa hili,
namuonea huruma sana bado mdogo ulimwengu ukisha mchoka ndio basi,
hafikilii kwamba kunawengie wameshapotea kwenye ulimwengu wa sanaa
na kusahaulika kabisa?
my god,
roho inaniuma sana, kuna skendo zake nilizisikina na msanii fulani wa mziki nilikuwa siamini lkn sasa naamini kwa hali hii, okey tumuachie mwenye manani ahukumu,